Facebook
Twitter
Problem melden

Malaïka Songtext

Angelique Kidjo
Keep On Moving The Best Of Angelique Kidjo
Malaika
Malaika, nakupenda Malaika.
Malaika, nakupenda Malaika.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Kidege, hukuwaza kidege.
Kidege, hukuwaza kidege.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.
News
Sarah Engels: Ihre Tochter hat Temperament
Vor 1 Tag
Sarah Engels: Ihre Tochter hat Temperament

Album Logozo (1992)

Angélique Kidjo
  1. 1.
    Batonga
  2. 2.
    Tché-Tché
  3. 3.
    Logozo
  4. 4.
    Wé-Wé
  5. 5.
    Malaïka
  6. 6.
    Ewa Ka Djo
  7. 7.
    Kaléta
  8. 8.
    Elédjiré
  9. 9.
    Sénié
  10. 10.
    Ekoléya
Angélique Kidjo - Malaïka
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Made with in Berlin
© 2000-2024 MusikGuru